MWALIKO WA KIDIGITALI, KIWANGO KIPYA

Mwaliko wako.
Muonekano wa kipekee.

Badilisha namna unavyowaalika watu kwenye siku yako maalumu. Tengeneza E-Card yenye muonekano wa kifahari, taarifa zote muhimu na link moja rahisi kushare.

Rahisi kushareMuonekano wa kisasaInafunguka kwenye simu
You are invited
The
Wedding
of
SATURDAY · 12 DECEMBER
Amani & Neema
CELEBRATE LOVE WITH US
↗Link moja tuShiriki popote
✦Design ya kifahariInavutia kila mgeni
SCOSIAH ADVANTAGE

Zaidi ya kadi.
Ni uzoefu wa kidigitali.

Kila mwaliko unatengenezwa kuwasilisha tukio lako kwa namna inayoonekana ya kisasa, nadhifu na rahisi kutumia.

✧

Muonekano wa Premium

Miundo iliyopangiliwa kwa umakini ili tukio lako lionekane la kipekee tangu mgeni afungue link.

⌁

Link Moja, Rahisi Kushare

Tuma mwaliko kupitia WhatsApp, SMS au njia nyingine yoyote inayokubali link.

▣

Inafunguka Kwenye Simu

Muonekano unaojirekebisha kwenye simu, tablet na kompyuta bila kuhitaji app maalumu kwa mgeni.

◎

Taarifa Zote Mahali Pamoja

Weka majina, tarehe, muda, eneo na maelezo ya tukio ndani ya mwaliko wako.

♡

Chaguo la Mitindo Mbalimbali

Chagua muonekano unaolingana na harusi, birthday, graduation, send-off na matukio mengine.

⌗

QR Code ya Mwaliko

Kwa kifurushi kinachojumuisha scan, wageni wanaweza kutumia QR code kufungua mwaliko.

TEMPLATE GALLERY

Chagua muonekano unaokuwakilisha.

Chunguza mifano halisi ya Scosiah E-Card. Bonyeza “Tazama Sample” kufungua mwaliko husika.

CHAGUA KIFURUSHI

Ubora unaoendana na hitaji lako.

Bei za kuanzia kwa kila mwaliko. Chagua huduma inayokufaa.

Essential E-Card

Mwaliko wa kidigitali wenye link ya kushare.
TSh 1,000 / mwaliko
  • E-Card yenye muonekano wa kisasa
  • Link ya kushare WhatsApp
  • SMS + WhatsApp
  • Inafunguka kwenye simu
Chagua Essential →
MAKE IT MEMORABLE

Tukio lako linaanza na mwaliko bora.

Chagua design, weka taarifa za tukio lako na uwe tayari kushiriki mwaliko wako kwa link moja.

Anza Kutengeneza E-Card →